Serikali kusimamia maendeleo ya mtoto Anna Zambi - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 17 November 2019

Serikali kusimamia maendeleo ya mtoto Anna Zambi

Waziri Ummy Mwalimu amesema suala la mtoto Anna Zambi Serikali kupitia Wizara ya Afya na maendeleoyajami tunachukua jukumu la kuratibu na kusimamia psychosocial support ya mtoto huyu pamoja  na ustawi wake kwa ujumla. Katibu Mkuu Dkt John Jingu leo ataitembelea familia yake iliyopo Goba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here