Simba SC na KMC kucheza mechi ya kirafiki, kiingilio bure - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 15 November 2019

Simba SC na KMC kucheza mechi ya kirafiki, kiingilio bure


Timu ya Simba SC imetangaza kuwa itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC kama sehemu ya kujiweka sawa kwa michezo ya Ligi inayokuja.

Taarifa rasmi kutoka ndani ya timu hiyo imeeleza kuwa mchezo huo utachezwa kwenye dimba la Chamanzi Dar es Salaam na kiingilio kitakuwa ni bure kabisa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here