Video ya wimbo wa Harmonize 'Uno' yarejea YouTube kwa kishindo - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 25 November 2019

Video ya wimbo wa Harmonize 'Uno' yarejea YouTube kwa kishindo


Wimbo wa Msanii Harmonize, Uno tayari umerejeshwa kwenye mtandao wa YouTube tangu utoweke Novemba 20 mwaka huu.
Ikumbukwe video hiyo iliondolewa baada ya Producer Magix kudai kwamba biti ya wimbo huo ni sampo ya biti yake aliyotumia kwenye wimbo wa Dundaing wa King Kaka.
Video ya wimbo huu imereja saa chache mara baaada ya  Magix Enga kutangaza kumsamehe Harmonize.
“Kila mtu aseme Uno, sasa unapatikana youtube katika audio na video.” aliandika Enga  kwenye ukurasa wake wa Instagram.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here