Herbeauty CCM yachukizwa na kitendo kilichofanywa na Catherine Magige, Wenzake Arusha - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 28 May 2021

Herbeauty CCM yachukizwa na kitendo kilichofanywa na Catherine Magige, Wenzake Arusha

 

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesema kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa  Jumuiya ya Umoja wa Wanawake(UWT) Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum  Catherine Magige.

Kimesema kwamba CCM inaamini katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali, badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 28,2021 na Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka imesema Chama hicho kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na Katiba ya CCM

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here