Rais Samia Suluhu ashiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa uchumi na kukabiliana na Corona - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 18 May 2021

Rais Samia Suluhu ashiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa uchumi na kukabiliana na Corona

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa uchumi wa nchi za Afrika na kukabiliana na athari za ugonjwa wa Korona (Covid-19) kwa njia ya mtandao. Mkutano huo unaofanyika Paris nchini Ufaransa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here