RATIBA YA LIGI KUU BARA HADHARANI, SIMBA KUANZIA UGENINI - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 10 September 2021

RATIBA YA LIGI KUU BARA HADHARANI, SIMBA KUANZIA UGENINI

 


 BAADA ya ratiba ya Ngao ya Jamii kuwa wazi na ikitarajiwa kuchezwa Septemba 25 kati ya Simba v Yanga, leo Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) imeweka hadharani ratiba ya ligi.

Ratiba inaonyesha kwamba Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 27 ambapo ni Mtibwa Sugar v Mbeya Kwanza, Uwanja wa Jamhuri, Moro.

Namungo v Geita utapigwa Uwanja wa Ilulu.

Coastal Union v Azam FC, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Hizi hapa zitapigwa Septemba 28:-

Dodoma Jiji v Ruvu Shooting, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Mbeya City v Mbeya City ngoma itapigwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Biashara United v Simba SC, Uwanja wa Karume, Mara.

Polisi Tanzania v KMC ngoma itapigwa Uwanja wa Ushirika, Moshi.

Kagera Sugar v Yanga ngoma itapigwa Uwanja wa Kaitaba.

Yanga na Simba hizi mechi zao za ufunguzi zote watakuwa ugenini huku mchezo wao wa Kariakoo Dabi kwenye ligi ukitarajiwa kuchezwa tarehe 11/12/2021.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here