Lewandowsky, Messi na Mo Salah
Kuanzia Robert Lewandowski kuporwa hadi Mohamed Salah kuwekwa nafasi ya saba, kumekuwa na mjadala kuhusu ni nani aliyestahili kuwa wapi kwenye orodha ya tuzo za wanaume za Ballon d'Or.
Jumatatu jioni Lionel Messi alishinda tuzo hiyo kwa mara ya saba.
Raia huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 34 na mshambulizi wa Paris St-Germain hajakuwa na wakati mbaya - alifunga mabao 40 mwaka 2021 kwa Barcelona manne kwa PSG na mabao 8 kwa Argentina.
Pia alishinda tuzo lake la kwanza la kimataifa mapema mwaka huu wakati Argentina ilishinda Copa America.
Kwa hivyo ugomvi ni nini?
Mwisho wa Twitter ujumbe, 1
Lewandowski aliibiwa?
Wakosoaji wengine wanafikiri kuwa mshambulizi wa Bayern Munich na Poland Lewandowski aliyemaliza nafasi ya pili alistahili kushinda tuzo hiyo.
Mchezaji huyu mwenye miaka 33 alifunga mabao 53 katika mashindano yote kwa Bayern mwaka 2021 na alishinda tuzo la mshambulizi wa mwaka.
Mwaka uliopita tuzo za Ballon d'Or zilifutwa kwa sababu ya janga lakini wengi walihisi angetambuliwa kwa njia nzuri wakati huo, baada ya kipindi kizuri ambapo aliisaidia Bayern kupata mataji matatu, la Ligi kuu, Bundelsiga na la Ujerumani la DFB
Mwaka 2021 Bayern ilijiongezea kombe lingine la Bendelsiga na kushinda mara ya tisa mfululizo ambapo Lewi alivunja rekodi ya sogora Gerd Muller's ya mabao 41 katika Bendesliga kwa msimu mmoja
Mwisho wa Twitter ujumbe, 2
Mwisho wa Twitter ujumbe, 3
Kiungo wa kati wa Real Madrid Toni Kroos hakukubaliana kabisa na uamuzi aa kumpa Messi nafasi ya kwanza
Alisema , hakuna shaka kuwa Messi na Cristiano wamekuwa wachezaji wa muongo uliopita, lakini mwaka huu kuna wengine mbele yake.
Kroos aliwataja wachezaji bora watatu kama mwenzake wa Real Madrid Karim Benzema, Lewandowski na Jorginho.
Sogora wa Real Madrid Casilla aliingilia kati pia akisema, "ni vigumu sana kwangu kuamini tuzo za soka. Messi ni kati ya wachezaji bora lakini ni lazima ujue ni nani bora zaidi baada ya msimu, sio vigumu."
Sio kila mtu ana chuki
Baada ya hayo yote kusemwa, kulikuwa na uungwaji mkono mwingi kwa uamuzi wa kumtambua Messi tena.
Mwisho wa Twitter ujumbe, 4
It’s a magnificent seven. Congratulations to Lionel Messi on winning yet another Ballon d’Or. A truly extraordinary footballer and an absolute credit to the sport both on and off the pitch. 👏🏻👏🏻
— Gary Lineker 💙 (@GaryLineker) November 29, 2021
Mwisho wa Twitter ujumbe, 5
Carried a struggling Barca on his back. Took Argentina to their first major title in 28 years.
— B/R Football (@brfootball) November 29, 2021
Messi deserved this Ballon d'Or 👑 pic.twitter.com/tYGjTfMthx
Mwisho wa Twitter ujumbe, 6
Jorgino alistahili kuwa katika nafasi kwanza tatu?
Kiungo wa safu ya kati wa Chelsea raia wa Italia Jorginho alishika nafasi ya tatu naye mchezaji mwenzake N'Golo Kante akashika nafasi ya tano.
N’Golo Kante: 5th in the Ballon d’Or
— B/R Football (@brfootball) November 29, 2021
Jorginho: 3rd in the Ballon d’Or
Chelsea: 2021 Club of the Year
What a run for Chelsea 💙 pic.twitter.com/EhXMKM1rGW
Mwisho wa Twitter ujumbe, 7
This is the first time since Xavi (3rd) and Andrés Iniesta (4th) in 2012 that two midfielders from the same club have been named in the top five for the Men's Ballon d'Or.
— Squawka Football (@Squawka) November 29, 2021
◉ 3rd - Jorginho
◉ 5th - N'Golo Kanté#BallondOr pic.twitter.com/iYooIEXkjU
Mwisho wa Twitter ujumbe, 8
Jorginho went from being booed to..
— Conn (@ConnCFC) November 29, 2021
• Winning CL, Euros, Super Cup
• Being in both X11 for Euros & CL
• UEFA mens player of the year
• 3rd place Ballon D’Or finish
Put some respect on J5’s name. pic.twitter.com/hpejFT7RPO
Mwisho wa Twitter ujumbe, 9
Na hata hivyo bado ana wapinzani wake
A real shame for Lewandowski to miss out on what he's clearly owed, but at least it's the best player in the world denying him of that...not Jorginho.
— Sam Tighe - Ranks FC Podcast (@stighefootball) November 29, 2021
Mwisho wa Twitter ujumbe, 10
Mashabiki wa Lewindowski wanasema kwamba alipokonywa ushindi
Kipi kilimpata Mohamed Salah?
Salah ametajwa kuwa mchezaji bora zaidi duniani na wachambuzi kadhaa msimu huu na meneja wake huko Liverpool Jurgen Klopp. Lakini alimaliza nafasi ya saba kwenye kura ya tuzo za Ballon d'Or nafasi moja nyuma ya Cristiano Ronaldo.
Mohamed Salah ranked 7th in the Ballon D'Or. I can't think of 6 players in the world better than him. pic.twitter.com/Rj4Q6h6OHZ
— DaveOCKOP (@DaveOCKOP) November 29, 2021
Mwisho wa Twitter ujumbe, 11
Mwisho wa Twitter ujumbe, 12
Klopp akishangzwa kuwa raia huyo wa Misri hakupta kura zaidi.
"Kwa uhakika Mo angekwa nafasi nzuri," alisema Mjerumani huyo na kuvilaumu vyombo vya habari.
Klopp alihoji kukosekana kwake Lewandowski.
"Unaweza kumpa Lionel Messi tuzu kwa taaluma amekuwa nayo, na mabao haya yote lakini usimpe Lewandowski wakati huu - kwa hivyo ni vigumu kuishinda kabisa."
Je, wanawake walipuuzwa?
Ukosoaji mwingine ulihusu uamuzi wa kuandaa tuzo hizo wakati wa mapumziko ya kimataifa kutoka soka ya wanawake, ikimaanisha kuwa wachezaji wengine bora hawakuweza kuhudhuria.
Mwisho wa Twitter ujumbe, 13
Hayes is referring to the fact that, while 5 Chelsea Women players were shortlisted, only one (Pernille Harder, injured) could join Chelsea's video link. The rest are on international duty. Kerr (finished third) is on the other side of the world right nowhttps://t.co/n7ZKveao6m
— Tom Garry (@TomJGarry) November 29, 2021
Mwisho wa Twitter ujumbe, 14
Pia mchezaji wa kimataaifa wa Canada Stephanie Labbe hakuwa makini kuhusu Ronaldo kutajwa kuwa mfunganji bora wa kimataifa wakati wa sherehe. Mchezaji mwenzake Christine Sinclair anashikilia rekodi hiyo na mabao 188 kwa Canada.
Ni mwishowe….
Nani aliamua ilikuwa wazo zuri kuonyesha picha hii ya Ronaldo?
If I have to see Ronaldo described as the top international goal scorer one more time during this @francefootball #BallonDor ceremony 🤬🤬🤬
— Stephanie Labbé (@stephlabbe1) November 29, 2021
Mwisho wa Twitter ujumbe, 15
Picha ya Didier Drogba na Cristiano Ronaldo picha ya pili ni ya Robert Lewandowski na Lionel Messi wakitabasamu.
Tunahisi kuwa Twitter haitapata amani kwa muda kufuatia matokeo ya mwaka huu ya tuzo za Ballon d'Or…



No comments:
Post a Comment