Mpango wa uvamizi wa Urusi 'tayari umeanza' - Uingereza yasema - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Monday, 21 February 2022

Mpango wa uvamizi wa Urusi 'tayari umeanza' - Uingereza yasema

 

Urusi

Msemaji wa waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameambia vyombo vya habari kwamba ripoti za ujasusi zinasema kwamba rais wa Urusi Vladmir Putin analenga kuivamia Ukraine.

Ujasusi tulionao ni kwamba Urusi inataka kuanzisha uvamizi na kwamba mipango hiyo ya rais Putin tayari imeanza , msemaji huyo ameambia vyombo vya Habari.

"Tunaona vipengele fulani vya kitabu cha michezo ya Kirusi ambavyo tungetarajia kuona katika hali fulani, kuanza kucheza kwa wakati halisi."


No comments:

Post a Comment