FAHAMU SABABU ZINAZOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 31 March 2022

FAHAMU SABABU ZINAZOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO

 Tatizo LA kutopata mimba linawasumbua wengi..katika jamii na familia mbalimbali .Ila nitatizo ambalo linatibika


Angalia sababu kubwa zinazopelekea tatizo LA hili
~kuziba kwa mirija ya kizazi(fallopian tubal blockage (
~Hydrosalpinx..mirija ya uzazi kujaaa maji
~Ugonjwa wa PID(pelvic inflammatory diseases)
~Fibroids .. Uvimbe kwenye kizazi
~Ovarian cyst--ovary kushibdwa kutoa mayai ya uzazi au kutoa mayai yasio kua na nguvu
~ugonjwa wa endometriosis
~Umri mkubwa wa mwanamke hasa miaka 35-45 na kuendelea...
 .. ..uvutaji wa sigara
...saratani ya ovary
...ugonjww wa polycystic ovarian syndrome (ovarian cysts)

SABABU NYINGINE ZINAZOPELEKEA UGUMBA KWA MWANAMKE
--Makovu katika mji wa uzazi kutokana na kutoa mimba
__uvimbe katika kizazi
___kulegea kwa shingo LA uzazi
.___kuziba kwa mirija ya uzazi
__kuziba kwa mirija ya uzazi

@@MATIBABU
Ni vema kwanza kufanya vipimo hasa mwili mzima.
..Inawezekana unapata changamoto ya kutopata ujauzito kutoka na shida ndogo .kumbuka shida ya uzazi inatibika ..
Piga Sasa 0672891124


Attachments area

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here