VODACOM TANZANIA FOUNDATION YASHIRIKIANA NA WWF KUADHIMISHA WASAA WA MAZINGIRA (EARTH HOUR ) KWA KUPANDA MITI WILAYANI KISARAWE - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 31 March 2022

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YASHIRIKIANA NA WWF KUADHIMISHA WASAA WA MAZINGIRA (EARTH HOUR ) KWA KUPANDA MITI WILAYANI KISARAWE

  Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jaffo (katikati) akiwa kwenye zoezi la upandaji miti katika kampeni ya wasaa wa mazingira (Earth Hour) yenye lengo la kuhamasisha upandaji miti ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, Kampeni hiyo ilifanyika wilayani Kisarawe, taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo ni mdau wa mazingira wameshirikiana na WWF katika kupanda na kusimamia miti wilayani humo. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here