Urusi na Ukraine: Hawa ndio Majenerali na maafisa wa karibu zaidi na Rais Putin wanaomsaidia katika vita ya Ukraine - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 2 March 2022

Urusi na Ukraine: Hawa ndio Majenerali na maafisa wa karibu zaidi na Rais Putin wanaomsaidia katika vita ya Ukraine

 

Putin

CHANZO CHA PICHA,AFISI YA RAIS WA URUSI

Maelezo ya picha,

Putin

Vladimir Putin anapunguza idadi ya watu waliokaribu nae, na kusababisha jeshi la Urusi kuwa katika vita vya hatari ambavyo vinatishia kuharibu uchumi wa nchi yake.

Mara chache anaonekana kutengwa zaidi alipoonekana katika matukio mawili ya hivi karibuni, akizungukwa na wasaidizi wake, akiwa ameketi umbali kiasi kutoka washauri wake wa karibu.

Kama Amiri jeshi mkuu, jukumu la mwisho la uvamizi linakua chini yake, lakini daima amekuwa akitegemea watu wake waaminifu, ambao wengi wao pia walianza kazi zao kwenye Idara ya usalama za Urusi. Swali ni nani anaowasikiliza, wakati huu muhimu wa hatima katika urais wake

Sergei Shoigu - Waziri wa Ulinzi

.

CHANZO CHA PICHA,AFISI YA RAIS URUSI

Ikiwa kuna anaweza kumsikiliza,basi unaweza kusema ni swahiba wake wa muda mrefu Sergei Shoigu, ambaye ameakisi uamuzi wa Putin wa kuiangamiza Ukraine na kuilinda Urusi dhidi ya tishio la kijeshi la nchi za Magharibi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here