WANAWAKE KKKT BOKO WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUFANYA MATEMBEZI - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday 13 March 2022

WANAWAKE KKKT BOKO WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUFANYA MATEMBEZI

 

Mwenyekiti wa Wanaumoja wa Wanawake wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Sylvia Lupembe, akizungumza wakati wa matembezi ya shukrani 2022 yaliyowashirikisha wanawaka wa kanisa hilo.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Boko, Ambakisye Lusekelo (wa pili kulia) akiongoza matembezi ya Shukrani ya kilometa 5 yaliyoanzia Kanisa la KKKT - Boko na kuishia katika ufukwe wa Ndege Beach Mbweni jijini Dar es Salaam leo Machi 12, 2022. Matembezi hayo yakiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Dunia ambapo Umoja wa Wanawake wa Usharika huo wametumia fursa hiyo kuhamasishana katika kuwachangia watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambao wakisumbuliwa na ugonjwa wa saratani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here