RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI,WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI IKULU DAR ES SALAAM - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 11 April 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI,WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI IKULU DAR ES SALAAM

 

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here