RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA STANBIC BANK TANZANIA IKULU ZANZIBAR - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 11 April 2022

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA STANBIC BANK TANZANIA IKULU ZANZIBAR

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Bw.Kevin Wingfield (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Bw.Kevin Wingfield (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu cha Historia ya Standard Bank Group ambayo ni kampuni mama ya Stanbic Bank Tanzania, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-4-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here