NIC YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 1 May 2022

NIC YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

 


 Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)  wakiwa wamebeba ujumbe unaosema “MISHAHARA NA MASLAHI BORA KWA WAFANYAKAZI NDIO KILIO CHETU ,KAZI IENDELEE”.Maadhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022.  Baadhi ya Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa NIC , waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here