TTB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 1 May 2022

TTB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

 


 Watumishi wa Bodi ya Utalii (TTB) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.  Watumishi wa Bodi ya Utalii (TTB) wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here