PICHA MAKAMU WA RAIS NA MFALME WA SWEDEN CARL GUSTAV - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 3 June 2022

PICHA MAKAMU WA RAIS NA MFALME WA SWEDEN CARL GUSTAV

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Mfalme wa Sweden Mtukufu Carl XVI Gustav wakati alipomtembelea na kufanya mazungumzo  katika Nyumba ya Kifalme Stockholm nchini Sweden mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Stockholm +50 unaoendelea nchini Sweden.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here