RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKIELEKEA NCHINI UGANDA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA UHURU AKIMUWAKILISHA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Saturday, 8 October 2022

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKIELEKEA NCHINI UGANDA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA UHURU AKIMUWAKILISHA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali wa Serikali  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchi Uganda leo 8-10-2022, kuhudhuria Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru wa Uganda, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Uganda kuhudhuria Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru wa Uganda, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here