YANGA YATOSHANA NGUVU NA AL HILAL LIGI YA MABINGWA AFRIKA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Saturday, 8 October 2022

YANGA YATOSHANA NGUVU NA AL HILAL LIGI YA MABINGWA AFRIKA

 

TIMU ya Yanga imejiweka njia panda kutinga hatua ya makundi ya Michuano ya Klabu bingwa Afrika baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wageni Al Hilal kutoka nchini Sudan mchezo uliomalizika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Yanga walipata bao kupitia Mshambuliaji wao hatari  Fiston Mayele dakika ya 50 huku n Al Hilal wakipata bao dakika ya 67 likifungwa na  Mohamed Youseif aliyetokea benchi.

Kwa matokeo hayo Yanga wamejiweka katika nafasi finyu ya kutinga makundi huku wakihitaji kwenda kushinda au kutoka sare ya kuanzia mabao 2 ili waweze kutinga hatua ya makundi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here