KOMREDI CHONGOLO APONGEZWA KUMJENGEA NYUMBA MWENYEKITI MJANE WA SHINA+video - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 31 May 2023

KOMREDI CHONGOLO APONGEZWA KUMJENGEA NYUMBA MWENYEKITI MJANE WA SHINA+video

 

Mwenyekiti wa Shina  namba 7 Rose  Zelemelamjane  ambaye anaishi nyumba ya kupangaakimshukuru Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo kwa kumpatia zawadi ya nyumba  baada ya kufanikisha harambee ya ujenzi wa nyumba hiyo wakati wa mkutano wa shina hilo katika Kijiji cha Ilambiloli, Isimani, mkoani Iringa Mei 30, 2023.

Katibu waNEC Itikadi  na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema akianzisha harambee hiyo.Mbunge wa Isimani, Willoiam Lukuvi akimshukuru Katibu wa NEC Oganaizesheni wa CCM, Issa Haji Gavu kwa kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo.
Wananchi waliotoa pongezi kwa viongozi wa CCM na hasa Katibu Mkuu Chongolo kufanikisha  harambe hiyo.






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here