RAIS SAMIA, CHONGOLO WAPONGEZWA MRADI WA SKIMU YA UMWAGILIAJI MKOMBOZI+video - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 31 May 2023

RAIS SAMIA, CHONGOLO WAPONGEZWA MRADI WA SKIMU YA UMWAGILIAJI MKOMBOZI+video

 Wananchi wa Kijiji cha Mboliboli, Isimani Iringa Vijijini wamewamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutoa sh. bilioni 55 za ujenzi wa skimu ya umwagiliaji Mkombozi ambayo Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amekagua maenedeleo ya ujenzi Mei 30, 2023.

Pongezi hizo zimetolewa na baadhi ya wananchi wakati wa mkutano wa wazi uliofanyika karibu na mradi huo katika Kijiji cha Mboliboli.

Chongolo akitoa maagizo mbalimbali kuhusu ujenzi huo. Kushoto ni Mbunge wa Isimani, William Lukuvi.


KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo akikagua ujenzi wa  Skimu ya Umwagiliaji ya Mkombozi iliyopo katika Kata ya Mboliboli katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

Baadhi ya wananchi wa eneo hilo wakiwamwagia pongezi Rais Samia na Komredi Chongolo.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here