BW/ YASSIN
ALLY,MKURUGENZI WA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE NA WASICHANA LA KIVULINI
AKITOA TAARIFA YA AWAMU YA PILI YA PROGRAM YA KUTOKOMEZA UKATILI WA
KIJINSIA WILAYANI MISUNGWI.
WANAHARAKATI.
MOJA YA KIKUNDI ZIKITUMBWIZA KATIKA HAFLA HIYO.
WANAHARAKATI.
BAADHI YA WANAFUNZI AMBAO NI WANAHARAKATI WA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA.
MHE. JOHN
MONGELA,MKUU WA MKOA MWANZA, AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MJI WA MISUNGWI
KOANI MWANZA WAKATI WA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA PROGRAM
YAKUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA,DHIDI YA WANAWAKE NA WASICHANA WALAYANI
MISUNGWI.
CIARAN
CANNON,WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA MAENDELEO YAKIMATAIFA WA JAMUHURI YA
IRELAND,AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MJI WA MISUNGWI KOANI MWANZA WAKATI
WA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA PROGRAM YAKUTOKOMEZA UKATILI WA
KIJINSIA,DHIDI YA WANAWAKE NA WASICHANA WALAYANI MISUNGWI.
WAZIRI
WA MAMBO YA NJE NA MAENDELEO YA KIMATAIFA WA JAMHURI YA IRELAND CIARAN
CANNON AKIZINDUA AWAMU YA PILI YA PROGRAM YA KUTOKOMEZA UKATILI WA
KIJINSIA WILAYANI MISUNGWI.
MHE. CIARAN
CANNON,WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA MAENDELEO YAKIMATAIFA WA JAMUHURI YA
IRELAND,KATIKATI NI RUAIRI DE BURCA,MKURUGENZI WA SHIRIKA MISAADA LA
IRELAND,WA MWISHO PAUL SHERLOCK,BALOZI WANCHI YA IRENLEND.
WAZIRI CANNON AKIZUNGUMZA NA MAAFISA WA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO LA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA.
WAZIRI CANNON AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA MKOA MWANZA MARA BAADA YA KUZINDUA PROGRAM HIYO.
No comments:
Post a Comment