Kifo cha Ndikumana kimewaliza wengi - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday 15 November 2017

Kifo cha Ndikumana kimewaliza wengi

Kifo cha Ndikumana kimewaliza wengi 
Msiba mkubwawa kwa Taifa la Rwanda! Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia usiku wa kuamukia leo.
Kataut beki wa zamani wa Rayon Sports na mume wa muigizaji maarufu nchini, Irene Uwoya amefariki dunia baada ya kuugua ghafla.

Taarifa kutoka Kigali, Rwanda zinaeleza Kataut alikuwa mazoezini jana asubuhi.

Wakati anapoteza maisha, Kataut alikuwa kocha msaidizi wa kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.

Mara ya mwisho, Kataut aliichezea Stand United ya Shinyanga wakati akitokea Cyprus.


Alikuja nchini mara ya mwisho wakati wa Simba Day Agosti 8, akitua nchini Agosti 7 akiwa na kikosi cha Rayon ambacho kilicheza na Simba na kupoteza kwa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here