Simba kuamua kumuacha beki wake, Method Mwanjale kumezua mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka.
Mashabiki mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii, wengine wakiamini haikuwa sahihi kumuacha.
Simba imeamua kumuacha Mwanjale raia wa Zimbabwe kutokana na kuwa majeruhi mara kwa mara.
Baadhi
ya wadau wanaamini, Mwanajale ni bora kutokana na uzoefu wake na
angekuwa msaada mkubwa kwa Simba kama ambavyo amekuwa akifanya.
No comments:
Post a Comment