YANGA YAENDELEA KUJIFUA KUTAKA KUUTETEA UBINGWA WAKE - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 12 December 2017

YANGA YAENDELEA KUJIFUA KUTAKA KUUTETEA UBINGWA WAKE

Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi yake leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


Yanga inaendelea kujifua kuhakikisha inatetea taji lake la Ligi Kuu Bara, sasa ikiwa katika nafasi ya tatu nyuma ya Simba na Azam FC.


Yanga haijawa na mwendo mzuri sana lakini wachezaji wake wameonekana kupania kubadili mambo wakiwa na juhudi kubwa mazoezini.
YANGA YAENDELEA KUJIFUA KUTAKA KUUTETEA UBINGWA WAKE

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here