MWANJALE KUACHWA SIMBA KWAZUA MJADALA, WENGINE WAPINGA SHARE: AddThis Sharing Buttons Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestShare to WhatsAppShare to More - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Tuesday, 12 December 2017

MWANJALE KUACHWA SIMBA KWAZUA MJADALA, WENGINE WAPINGA SHARE: AddThis Sharing Buttons Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestShare to WhatsAppShare to More

Simba kuamua kumuacha beki wake, Method Mwanjale kumezua mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka.
Mashabiki mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii, wengine wakiamini haikuwa sahihi kumuacha.

Simba imeamua kumuacha Mwanjale raia wa Zimbabwe kutokana na kuwa majeruhi mara kwa mara.

Baadhi ya wadau wanaamini, Mwanajale ni bora kutokana na uzoefu wake na angekuwa msaada mkubwa kwa Simba kama ambavyo amekuwa akifanya.

Lakini wengine wanaona ni sahihi kwa kuwa kuacha nafasi kwa wachezaji wenye msaada zaidiMWANJALE KUACHWA SIMBA KWAZUA MJADALA, WENGINE WAPINGA

No comments:

Post a Comment