Mexco: Saba wakutwa kwenye gari wamefariki - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 16 December 2019

Mexco: Saba wakutwa kwenye gari wamefariki


Jeshi la Polisi nchini Mexico hapo jana, Jumapili lilipata miili ya wanaume saba ndani ya gari kusini mwa jimbo la Rio de Janeiro.
Waathiriwa waligundulika katika mji wa Angra dos Reis, ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa nje ya Idara ya Moto.
Mamlaka yanashuku uhalifu huo unahusiana na biashara ya dawa za kulevya katika eneo hilo. Polisi wa raia wameanza uchunguzi kuhusu kesi hiyo, huko Polisi walisema bado hawajui jinsi watu hao waliuawa



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here