Msanii R. Kelly azidi kuandamwa na matatizo - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 6 December 2019

Msanii R. Kelly azidi kuandamwa na matatizo


Msanii nguli wa muziki wa RnB nchini Marekani, R. Kelly ameripotiwa kushtakiwa tena kwa mara nyingine kwa madai ya kuwahi kutoa hongo kwa mtumishi wa Serikali na kujipatia Kitambulisho feki katika kupata Leseni ya ndoa na marehemu Aaliyah.
Imeelezwa, Kitambulisho hicho kilimuonesha marehemu Aaliyah ana umri wa miaka 18, na hatimaye kufunga ndoa na R. Kelly mwaka 1994.
Hivyo basi, waendesha mashtaka wanasema kwa kosa hilo linalohusishwa na rushwa nalo limeongezwa kwenye mashtaka yake kibao ya Unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wadogo ya mjini New York.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here