Fedha za maadhimisho ya Muungano zagawanywa Bara, Zanzibar - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 26 April 2021

Fedha za maadhimisho ya Muungano zagawanywa Bara, Zanzibar

 

Dk Mpango ameyasema hayo leo Jumatatu Aprili 25, kwenye kongamano la Muungano linalofanyika jijini Dodoma.


Amesema kwa busara za Rais Samia Suluhu amefanya uwamuzi mwaka huu kuadhimisha sikuu ya muungano kwa kufanya kongamano na fedha ambazo zilikuwa zitumike zigawanywe kwenye pande zote mbili za muungano na kila upande utaamua namna ya kuzitumia kwaajili ya shughuli za maendeleo.

fedhs pcc


"Kwa busara ya mamayetu baada ya kufanya uwamuzi kwamba mwaka huu tuadhimishe muungano wetu kwa kufanya kongamano ameagiza fedha ambazo zilikuwanzitumike kwaajili ya sherehe mwaka huu zitagawanywa kwenda pande zote mbili za muungano na kila upande utaamua namna ya kutumia hizo fedha kwaajili ya miradi ya maendeleo," amesema Dk Mpango

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here