KATIBU MKUU CHONGOLO AMFARIJI NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday 8 March 2022

KATIBU MKUU CHONGOLO AMFARIJI NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR

 


 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (kulia) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdallah Juma Saadalla (Mabodi) mara baada ya kufika nyumbani kwake Chukwani,Unguja na kumfariji baada ya mtoto wake Rubani Ashraf Abdallah Juma kupata ajali ya na ndege nchini Comoro mwishoni mwa mwezi februari,2022. (Picha na CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here