Meneja wa Aston Villa Steven Gerrard anamfuatilia mshambuliaji wa Atletico Madrid Luis Suarez, 35, akiangalia uwezekano wa kumsajili nyota huyo wa kimataifa wa Uruguay. (Athletic - subscription required)
Manchester United itapeleka ofa mpya msimu wa majira ya joto kwa ajili ya mshambuliaji wa England na Tottenham Harry Kane, 28. (Mirror)
Barcelona itamgeukia mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Belgium Romelu Lukaku, 28, kama watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland msimu huu. (AS - via Star)
Meneja wa Barcelona Xavi pia anataka kumuongeza kwenye kikosi chake mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah, 29. (AS)
Meneja wa Arsenal Mikel Arteta na wa Tottenham Antonio Conte wako kwenye orodha ya makocha 9 wa kuziba pengo la kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino kama atafukuzwa. (L'Equipe, via Mail)
AC Milan inaamini itawasajili nyota wa Lille, mlinzi Sven Botman, 22, na kiungo midfielder Renato Sanches, 24. (90 Min)
Mlinda mlango wa Liverpool Caoimhin Kelleher, 23, hatouzwa au kutolewa kwa mkopo katika dirisha lijalo la usajili, licha ya kusakwa na vilabu vingine vya ligi kuu. (Sun)
Manchester City inatarajiwa kuungana na Real Madrid na Manchester United katika mbio za kusaka saini ya mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 33, kama atakuwa sokoni mwishoni mwa msimu. (Fichajes)
West Ham inaongeza juhudi zao za kumnasa mlinzi wa Nottingham Forest Joe Worrall, 23, lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Brentford na Everton. (Sun)
Mshambuliaji wa Leeds United Raphinha, 25, anavivutia na vilabu vya Barcelona na Manchester United. (Sportitalia)
Liverpool pia inavutiwa na Raphinha. (Fabrizio Romano)
Wekundu hao wa Anfield wanakaribia kumsajili kinda la miaka 16 Ben Doak kutoka Celtic. (Athletic).
Benfica wanamtaka mshambuliaji wa Paris St-Germain na Argentina Angel di Maria, 34. (Record - in Portuguese).
West Ham wanamtaka mlinzi wa kati wa Nottingham Forest muingerezaJoe Worrall, 25. (Sun)
Kipa wa Lazio na Albania Thomas Strakosha, 26, anasakwa na vilabu vya ligi kuu. (Calciomercato - in Italian)
Kiungo wa Real Madrid mhispania Dani Ceballos, 25 ambaye alicheza kwa mkopo Arsenal kati ya mwaka 2019 and 2021, hatma yake pale Bernabeu iko na kizungumkuti. (AS - in Spanish)
Manchester United itapeleka ofa mpya msimu wa majira ya joto kwa ajili ya mshambuliaji wa England na Tottenham Harry Kane, 28. (Mirror)
Barcelona itamgeukia mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Belgium Romelu Lukaku, 28, kama watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland msimu huu. (AS - via Star)
Meneja wa Barcelona Xavi pia anataka kumuongeza kwenye kikosi chake mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah, 29. (AS)
Meneja wa Arsenal Mikel Arteta na wa Tottenham Antonio Conte wako kwenye orodha ya makocha 9 wa kuziba pengo la kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino kama atafukuzwa. (L'Equipe, via Mail)
AC Milan inaamini itawasajili nyota wa Lille, mlinzi Sven Botman, 22, na kiungo midfielder Renato Sanches, 24. (90 Min)
Mlinda mlango wa Liverpool Caoimhin Kelleher, 23, hatouzwa au kutolewa kwa mkopo katika dirisha lijalo la usajili, licha ya kusakwa na vilabu vingine vya ligi kuu. (Sun)
Manchester City inatarajiwa kuungana na Real Madrid na Manchester United katika mbio za kusaka saini ya mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 33, kama atakuwa sokoni mwishoni mwa msimu. (Fichajes)
West Ham inaongeza juhudi zao za kumnasa mlinzi wa Nottingham Forest Joe Worrall, 23, lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Brentford na Everton. (Sun)
Mshambuliaji wa Leeds United Raphinha, 25, anavivutia na vilabu vya Barcelona na Manchester United. (Sportitalia)Liverpool pia inavutiwa na Raphinha. (Fabrizio Romano)
Wekundu hao wa Anfield wanakaribia kumsajili kinda la miaka 16 Ben Doak kutoka Celtic. (Athletic).Benfica wanamtaka mshambuliaji wa Paris St-Germain na Argentina Angel di Maria, 34. (Record - in Portuguese).
West Ham wanamtaka mlinzi wa kati wa Nottingham Forest muingerezaJoe Worrall, 25. (Sun)Kipa wa Lazio na Albania Thomas Strakosha, 26, anasakwa na vilabu vya ligi kuu. (Calciomercato - in Italian)Kiungo wa Real Madrid mhispania Dani Ceballos, 25 ambaye alicheza kwa mkopo Arsenal kati ya mwaka 2019 and 2021, hatma yake pale Bernabeu iko na kizungumkuti. (AS - in Spanish)
No comments:
Post a Comment