MORAVIAN EFATHA CHOIR NA MLEZI WAO YONA SONELO YAPANIA KUJENGA OFISI YA UMISSION UKO MOROGORO - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 11 April 2022

MORAVIAN EFATHA CHOIR NA MLEZI WAO YONA SONELO YAPANIA KUJENGA OFISI YA UMISSION UKO MOROGORO

Mgeni rasmi  na mlezi wa moravian efatha choir Yona Sonelo akikabaidhi milioni kumi kwa mwenyekiti wa kanisa la moravian jimbo la mashariki Gerald kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya umission uko morogoro jana pamoja na harambee hiyo iliambatana na kuwekwa wakfu viongozi wa umission





hao ni baadhi ya wanakwaya wa moravian efatha choir wakihudumu katika ibada ya kuwekwa wakfu viongozi wa umission uko morogoro moravian











                  hizo ni baadhi ya picha na matukio mbali mbali yaliyofanyika jana mkoani morogoro
 

4 comments:

Post Top Ad

Responsive Ads Here