Mgeni rasmi na mlezi wa moravian efatha choir Yona Sonelo akikabaidhi milioni kumi kwa mwenyekiti wa kanisa la moravian jimbo la mashariki Gerald kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya umission uko morogoro jana pamoja na harambee hiyo iliambatana na kuwekwa wakfu viongozi wa umission
hizo ni baadhi ya picha na matukio mbali mbali yaliyofanyika jana mkoani morogoro
Safi sanaaaa
ReplyDeleteSafi sana
ReplyDeleteIlipendeza sana sana
ReplyDeleteNice one Mungu awabariki sana
ReplyDelete