Klabu ya simba yamtumia salamu za rambirambi Agrey Moris kwa kufiwa na mkewe - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

KABATA2

Saturday, 11 January 2020

Klabu ya simba yamtumia salamu za rambirambi Agrey Moris kwa kufiwa na mkewe

Simba-SC-LogoKlabu ya simba kupitia Afisa habari wake Haji Manara imetuma salamu za rambi rambi kwa naodha wa Azam FC Agrey Moris kwa kufiwa na mkewe.
Manara kupitia akaunti yake ya instagram amempa pole kwa msiba mzito alioupata na jukumu kubwa la kuachiwa kichanga baada ya mama mtoto kufariki wakati wa kujifungua
Ohhhh Maskini!!Captain @agreymorisambros pole sana kwa msiba mzito wa mkeo Asteria, tunaambiwa msiba wa mke/mume ndio unaochoma moyo zaidi duniani,nasi tunajua hali uliyonayo beki mahiri wa nchi.Poleni ndugu zetu wa @azamfcofficial kwa pigo hilo,Poleni familia yote na tunajua licha ya msiba huo,,mmeachiwa jukumu zito la ulezi la mtoto aliyeachwa na mama yake ktk umauti uliosababishwa na uzazi,,Klabu yangu imeniagiza nikupe salaam nyingi za pole Captain Morris.Tumefundishwa subira ktk vipindi vigumu vya majonzi.Inshaallah wafiwa na muipate hyo subira!!Bwana alitoa ,Bwana alitwaa,Jina lake lihidimiweAmeen 🙏
Nahodha wa Azam FC Agrey Moris amefiwa na mkewe jana jioni ya Januari 10 2020, marehemu mauti yamemfika wakati akiwa kwenye harakati za kujifungua.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad